Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD/Sauti ya mwanafunzi
Sauti ya mwanafunzi ni mtazamo binafsi na wa pamoja na matukio ya wanafunzi katika muktadha wa kujifunza na elimu.[1][2] Ni kitambulisho katika shule kwa vyote kama ufanyaji wa sitiari na kama uhusishi wa pragimatiki. Mwalimu wa technolojia Dennis Harper aligundua kuwa sauti ya mwanafunzi huwapatia wanafunzi "uwezo wa kuhamasisha kujifunza wakihusisha sera, mikakati, muktadha na sheria"
Marejeo
hariri- ↑ "Articles". SoundOut (kwa Kiingereza). 2015-02-02. Iliwekwa mnamo 2022-11-30.
- ↑ ~ Adam F. C. Fletcher (2015-04-13). "Tips on Action for Meaningful Student Involvement". SoundOut (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-30.