Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD/Ushirikiano wa vijana na watu wazima

Ushirikiano wa vijana na watu wazima ni uhusiano wenye ufahamu ambao unaanzishwa na kudumisha usawa wa vizazi kati ya watu vijana na atu wazima. Ushirikiano wa vijana na watu wazima mara nyingi hutoa mchango mkubwa kwenye haki za vijana na uhuru, na mara nyingi pia kwenye ushiriki wa vijana huleta usawa. Kwa kawaida huonekana kuwa watu wazima kuhusika katika upeo wa mshauri, wakitoa njia bora kwa vijana. Utofauti ushauri wa jadi, ushirikiano wa vijana na watu wazima imeainishwa kwa watu wazima wengi na vijana wengi[1] na pia ulazima wa kuheshimiana ambapo watu wazima na vijana hufundisha na kuifunza kutoka kwao wenyewe, wakifanya kazi kwa pamoja kwenye jamii.[2]

Marejeo.

hariri
  1. Zeldin, S., McDaniel, A., Topitzes, D., & Lorens, M.B. (2001). "Bringing young people to the table: Effects on adults and youth organizations," CYD Journal, 2(2) p. 20-27.
  2. Mitra, Dana L. (2009-05-01). "Collaborating with Students: Building Youth‐Adult Partnerships in Schools". American Journal of Education. 115 (3): 407–436. doi:10.1086/597488. ISSN 0195-6744. {{cite journal}}: no-break space character in |first= at position 5 (help)