Leonard Ngowo
Imejiunga 5 Januari 2007
Bwana Leonard, karibu sana kwenye wikipedia ya Kiswahili! Twamfurahia kila mmoja aliye tayari kuchangia. Karibu! Ukiwa na swali - usisite kuuliza maswali. Ukiendelea kuandika: ni vema kukumbuka viungo kati ya makala na kutaja jamii. Angalia mfano wa uhariri wangu wa makala "Sua".
Si utaratibu kuandika hapa kama ni ukurasa wako lakini nahisi wewe ni mgeni. Natumaini utaona salamu hizi na kujibu. Baadaye nitaifuta hapa na kuiacha kwenye ukurasa wa majadiliano ambako ni mahali pake. --Kipala 20:42, 5 Januari 2007 (UTC)