Mtumiaji:Lusajo Chicharito Brown

Lusajo Chicharito Brown
[[1]]
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 8 Agosti 2002 (2002-08-08) (umri 22)
Mahala pa kuzaliwa    Mbeya, Tanzania
Urefu 1.58 m (5 ft 2 in)
Nafasi anayochezea Mlengo wa kushoto

Kiungo Mshambuliaji Mshambuliaji

Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Chipkizi Football Club u20
Namba 7
Klabu za vijana
Tishoo Stars 2012-2013

Costa Boys 2013-2014

Small boys 2014-2014

Black Leopard Football Club Under20 2014-2015

Mbalizi Soccer Academy MSA 2015-2017

Nuhu Football Club 2018-2019

Chipkizi Football Club u20 2019-

Timu ya taifa
Tanzania U 17

* Magoli alioshinda


Jina lake kamili Anaitwa Lusajo Brown Aaron Mwangomola maarufu kwa jina la Chicharito amezaliwa Tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka 2002 katika mji wa Ujiji,Kigoma,Tanzania Lusajo ni Mchezaji wa kandanda katika klabu ya Chipkizi Football Club u20 iliyopo Mbalizi,Mbeya,Tanzania nafasi anayocheza ni Winga wa kushoto jezi anayovaa anavaa jezi namba 7. Lusajo amechezea takribani klabu sita za vijana mkoani Mbeya. Lusajo ni Moja ya mawinga Vijana wanaochipukia ambao ni hatari katika Nchi ya Tanzania. Lusajo amewahi kufunga magoli matatu katika mechi 1 mala 2 akiwa na Tishoo stars mwaka 2012 mechi alizofunga ni dhidi ya Ndola Fc na Boys stars.

Magoli aliyofunga

hariri

mpaka sasa Lusajo kafunga goli 86 katika mechi 109 alizocheza akiwa

  • Tishoo mechi 20 goli 18
  • Costa mechi 16 goli 20
  • Small mechi 7 goli 6
  • Black leopard mechi 22 goli 11
  • MSA mechi 26 goli 22
  • Nuhu Football Club mechi 4 goli 0
  • Chipkizi Football Club u20 mechi 14 goli 9

Historia

hariri

Lusajo Chicharito Brown kwa sasa anaishi katika jiji la Mbalizi mkoani Mbeya katika mtaa wa Mapelele alianza kucheza soka katika Shule ya Msingi Mbalizi 2 alianza kucheza kama Golikipa lakini aliamishwa nafasi hadi akawa mchezaji wa ndani mwaka 2012 alijiunga na Timu ya Vijana ya Tishoo stars ndipo alipoanzia katika maisha ya kisoka kijana Lusajo alianza kucheza mchezo wa kwanza wa Tishoo ilikuwa tar 6 mwezi wa 4 2012 dhidi ya Rangers na alifunga goli moja katika ushindi wa goli 2 ndipo alipozidi kuonyesha makali yake zaidi.

Kuhusu majaribio

hariri

Lusajo amewahi fanya Majaribio katika klab ya AzamFc na MbeyaCity zote za Tanzania kwa mwaka 2015 majaribio hayo aliyaweza lakini tofauti ya makocha wa klabu hizo hazikuonyesha dalili ya kumsainisha kijana huyu kwa makubaliano ya kifedha wakisubiri aongezeke umri.

Uwezo wake Akiwa dimbani

hariri

Bwana mdogo Lusajo ana uwezo wa kupiga pasi za mabao na ana uwezo wa kukimbia na mpira akiwa pembeni pia anasifika kwa kupiga mipira safi ya krosi mpaka sasa Lusajo ndie mchezaji aliepiga pasi nyingi za magoli Katika klab yake ya Black leopard pia ana uwezo wa kucheza kama mshambuliaji


Viungo vya nje

hariri