Madaha Mwittah
Imejiunga 21 Januari 2019
Madaha Mwittah: Amezaliwa Maswa Simiyu, zamani ilikuwa sehemu ya (Shinyanga).
Amewahi kuitwa majina yanayotokana na Sifa mbali mbali, Kama; Shaban Mwita, Magina Luguma na Juma Ernest kwa nyakati tofauti tofauti.
Umri: Amezaliwa 1/1/1988, na mtoto wa 6 kati ya watoto 11 wa Mzee Enoss Luguma Mwittah.
Elimu: 1997 Kakola Shule ya msingi
Istoshe amesoma pia Shule za msingi za Kakola(Maswa) 2003, Nyanzenda(Sengerema) 2004 na Mwabagalu(Maswa) 2005. Amewahi kusoma Shule za Upili za NG'WANZA(MAEC) SOLA MASWA 2004,GEITA 2005 -GEITA, MIGUKULAMA, SENGEREMA 2005, hatimaye NYABUBINZA,MASWA alipohitimu kidato cha nne 2010
Wazazi wake ni Leticia Nkwimba Lilida na Mzee Enoss Luguma Mwita. Ujuzi na Uzoefu Maishani: Ukulima, Biashara, Miradi na Ufundishaji.
Anaamini katika Ubunifu, Ujuzi, Utafiti Wa Maarifa, Biashara, Ujasliamali, Bidii, Malengo Na Matumizi Ya Mikakati Sahili ili Kuwa na Matokeo Ya mafanikio.
- Ukitafuta kwa mwelekeo unaofaa utapata kwa wakati, lakini jipe moyo kwani kipindi cha utafutaji hakina alama za kukuongoza umbali uliobakia wa kufikia mafanikio.