Mimi ni Evan Maina Maingi mzaliwa wa Kenya. Nilizaliwa mwaka wa 1980 mkoani bonde la ufa, katika wilaya ya Nakuru na nimelelewa Naivasha. Nilisomea shule ya Msingi ya Maua, Naivasha, kisha nikajiunga na shule ya upili ya Solai mjini Nakuru. Nina shahada kutoka chuo kikuu cha Nairobi.

Nilijiunga na mashindano haya kwani kwangu nayaona kama ni njia moja ya kuikuza lugha yetu ya Kiswahili

Mimi ninapenda kuandika, kusikiza muziki na kuendesha baiskeli.


|- | Jua Cali ||

|}

sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)