Mimi ni Marciano petro Gadiye ni kijana wa kitanzania nimezaliwa Mkoa wa Arusha ,nimefurahi sana kuwa miongoni wa watumiaji wa wikipedia ,nikiwa kama mwalimu wa somo la kilimo na biolojia ninapenda mno kujiendeleza kitaaluma hasa kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia hivyo wikipedia itanisaidia kujiongezea maarifa na ujuzi wa taarifa mbalimbali kuhusiana na taaluma yangu ya ualimu