Mtumiaji:Mimi Prowess/Ellen Burka

Picha ya Ellen Burka mnamo 1990
Ellen Burka

Ellen Burka (Agosti 11, 1921- Septemba 12,2016) Mkanada mwenye asili ya uholanzi alikuwa mtezaji katika theluji na kocha. Akawa mwanachama wa utaratibu wa Kanada mnamo 1978 na aliingizwa kwenye Orodha ya watu maarufu katika Michezo Kanada mnamo 1996.[1]

Marejeo

hariri
  1. http://www.sportshall.ca/stories.html?proID=292