Mimi Prowess
Imejiunga 27 Novemba 2021
Habari.
Naitwa Miriam ila nafahamika kama Mimi Prowess kwa wikipedia. Napenda kukuza lugha yetu ya kiswahili na kuhakikisha watumiaji wa lugha yetu wanapata habari na makala mbali mbali kwa lugha ya kiswahili.
Pia naongea kingereza kizuri. karibu.
Link ya Makala za leo
Link ya dashboard
https://outreachdashboard.wmflabs.org/courses/USW/KARIBU_TANZANIA_MAY_(14-05-2023)?enroll=