Mtumiaji:Mimi Prowess/Kristen Butler

Kristen Butler (Amezaliwa Mri 13, 1984) ni Mmarekani aliekuwa mtaalamu wa kudaka mipira miepesi wa All- star na kocha mkuu wa Rutgers.[1] Alicheza katika timu ya chuo Florida katika tamasha la Southeastern tangu 2003 mpaka 2006 na alishinda tuzo ya SEC mchezaji wa mwaka mnamo mwaka 2006.

Marejeo

hariri
  1. "Kristen Butler - Softball Coach". Rutgers University Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-10.