KunihusuEdit

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Kwa jina naitwa Victor Omondi jina la lakabu (Rovict Monido)., Mimi ni mwanafunzi wa uhandisi katika Chuo Kikuu cha Nairobi (Uhandisi wa mitambo ya stima na kiteknolojia). Nina nia katika makala ya uhandisi katika wikipedia.


Hivi Sasa ...Edit

Niko katika mwaka wangu wa pili katika chuo kikuu. Pia nina shiriki katika changamoto la kutafsiri wikipedia kwa lugha ya kiswahili. Ningependa kutafsiri makala mengi iwezekanavyo haswa ya uhandisi.


Malengo na matarajioEdit

Lengo langu ni kuwezesha kupatikana kwa maudhui ya wikipedia kwa watu wangu iwezekanavyo kwa kufanya utafsiri bora kwa lugha ya Kiswahili. Ningependa kuwa inshalla, kuanza kampuni ya ufumbuzi wa kawi kwa njia zisozoidhuru mazingira.