Naitwa Aden Simon Mwangoka nilizaliwa tarehe 03 mwe wa pili mwaka 1960 katika kijiji cha bunyakikosi kitotongoji cha mwale kata ya masebe wilaya ya rungwe mkoa wa mbeya tanzania. nimesoma shule ya msingi iliyopo kata ya suma wila ya rungwe nilipata kazi ya kuwa fundi wa simu ttcl dar es salaam mwaka 1990 mpka mwaka 2004 nilipata neema wokovu tar 27 mwezi wa saba mwaka 2004 hiyo hiyo nikiwa na mke mmoja na mtoto mmoja mwaka 2010 mke wangu aliamua kuniacha alidai haitaki imani nilionayo alipoondoka ndipo mungu alipoanza nipa vipaji vya uimbaji na hudumam mbali mbali kama kuombea wagonjwa na kuhubiri mpka sasa nipo peke yangu sina mtu ila nina watoto wawili wakike na wakiume wakike ni elizaet aden mwangoka wakiume ni eliyezeli aden mwangoka sasa niko kijijini kwetu ninatumika katika mazabahu ya ngome ya sayuni pamoja na kilimo .