Mtumiaji:Muddyb/Almasi zenye mgogoro

Mtu akichuja almasi huko Sierra Leone.
Makala ya video inayoelezea uUchimbaji wa almasi usiyo-faa huko nchini Sierra Leone. (Kiingereza)

Almasi za damu (pia almasi zenye mgogoro au kwa Kiingereza wanaita; Blood diamonds, conflict diamonds, war diamonds, hot diamonds, au red diamonds) ni istilahi inayotumiwa kwa ajili ya almasi zinazochimbwa katika ukanda wenye vita na kuuzwa na hatimaye kufadhuli machafuko ya kivita katika ukanda husika. Istilahi inatumika kuangazia matokeo mabaya ya biashara ya almasi katika baadhi ya maeneo, au kupachika majina kwa wauzaji au muuzaji anajihusisha na almasi zinatokana na maeneo hayo. Almasi zilizochimbwa hivi karibuni katika kanda za kivita huko nchini Angola, Ivory Coast, Sierra Leone, Liberia, Guinea, Ghana, na Guinea Bissau zote zimepewa jina la almasi za damu.[1][2][3]



Viungo vya nje hariri

  1. Conflict Diamonds. United Nations Department of Public Information, March 21, 2001, archived online 23 October 2013.
  2. "Conflict resources: from 'curse' to blessing" by Ernest Harsch. Africa Renewal: January 2007.
  3. "Global Summary 2008" (PDF). Kimberley Process Certification Scheme. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-26.