Mimi naitwa Caleb Mutua. Nina umri wa miaka ishirini na mbili. Natoka katika mkoa wa mashariki, Kenya. Nimelelewa katika jiji kuu la Nairobi, hii inatia ndani masomo yangu ya msingi na hata shule ya upili.

Hivi sasa mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nairobi ambapo nasomea shahada ya uwana-habari. Mbali na masomo, mimi ni malenga wa mashairi yajulikanayo kama haiku (www.caleb-haiku-collection.blogspot.com).

Napenda kwenda tafrija katika sehemu mbalimbali za nchi yetu, kufanya urafiki na watu mbalimbali, kusikiliza midundo ya Hip Hop na R & B na kutazama filamu za vitimbi na vituko.

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)