NURU H SAID
Imejiunga 4 Oktoba 2024
Kwa Jina naitwa Nuru Haruni Said, ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Waisilamu Morogoro.
Nasomea shahada ya sanaa katika kiswahili mwaka wa pili. Napendelea kuandika na kuhariri makala mbalimbali za kiswahili.
Asante.