Karibu katika Warsha ya Wanawake wa Tanzania katika Teknolojia

hariri

Habari!
Asante sana kwa kujiandikisha kushiriki katika warsha ya kesho tar 24 August 2024 itakayohusu uandishi na uboreshaji wa makala zinazohusu Teknolojia zikihusisha wanawake wa Tanzania au Afrika Mashariki.

KWA WATAKAO HUDHURIA ANA KWA ANA: Warsha itafanyikia Automark Showroom, 9 Sokoine Drive, Posta- Tanzania (Opposite na Kituo cha Mwendokasi cha Posta ya Zamani) au unaweza kuangalia ramani kupitia kiungo hiki: https://maps.app.goo.gl/kgDNMSWa1u6KeodZ8

Muda: Warsha itaanza saa 3 kamili asubuhi. Maelekezo: Kwa walio na Laptop tunaomba mje nazo, kama huna unaweza pia kuja na utaweza kushirikiana na mtu mwingine katika kundi.
KWA WATAKAO HUDHURIA MTANDAONI: Kutakuwa na mafunzo kwa watu wa mtandaoni yatakayoanza saa 5 Kamili Asubuhi na baada ya hapo kutakuwa na mazoezi kwa vitendo.

Kiungo cha Google meet kwa washiriki wa mtandaoni ni: https://meet.google.com/xjz-scsj-qdz
Taarifa zaidi: Event:Tanzanian/East African Women in Technology Saturday, August 24 · 11:00 – 12:00 (saa tano -saa sita kamili asubuhi) Time zone: Dar es Salaam/Tanzania Google Meet joining info Video call link: https://meet.google.com/xjz-scsj-qdz

Ikiwa una swali lolote usisite kuuliza kupitia barua pepe hapo chini.

Asante na karibu!

Antoni Mtavangu
Cofounder - Wikimedia Tanzania
antonicmtavanguATgmail.com
Jadnapac (majadiliano) 18:32, 23 Agosti 2024 (UTC)