Mwanzilishi wa mtandao wa www.phid-tech.com tovuti ya huduma mtandaoni maarufu barani Afrika.Pia Philemon Rwegasira Bagoka ni Mshauri wa Biashara katika kampuni ya Phidtech na mchambuzi wa kipindi Cha Business Exposure kinachorushwa na Pntv na PN RADIO Pia ni MKURUGENZI Wa Kampuni ya Phidtech T Limited ,PNTV MEDIA a PHIDTECH ICT AND BUSINESS SOLUTIONS ni mtaalamu Wa Maswala ya Biashara ,Teknolojia na Habari.

Kampuni yake ya Phidtech ni Moja ya makampuni yanayokuwa kwa kasi.