Mimi ni Robert Ochieng'. Mzaliwa wa sehemu za Ukwala ambako huwa tunaita kwa jina la utani la UK, Wilaya ya Siaya, Mkoa wa Nyanza, nchini Kenya. Najivunia kuongea na kutumia lugha ya Kiswahili kwani inatuwezesha kupata na watu wote wa nchi za Afrika mashariki na kati na hata watu kutoka pande zingine za dunia. Nina matumaini makubwa kuwa fursa itawezesha maswala, watu na mabo mengine ya jamii ya Afrika kuwekwa kwa lugha ya Kiswahili.

Peter Kamero

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)