Sadock Salvatory Barweta amezaliwa 1992/05/03 katika mkoa wa kagera,wilaya kyerwa amekuwa amekuwa kiongozi mkuu wa chama cha maskauti Tanzania mkoani Kigoma tangu 2013 hadi 2016 alipotenguliwa cheo kwa sababu kadha wa kadha za kibnafsi, amelitumikia jeshi la kujenga taifa yaani JKT tangu 2010-2012 na kumaliza mkataba kwa nidhamu ya hali juu