Maisha binafsi ya Saidi Abdallah Sururu

hariri

Saidi Abdallah Sururu ni Mwandishi wa hadithi za Kiswahili Nchini Tanzania. Pia ni Engineer katika Domestic Electrical Installation

Historia yake

hariri

Saidi Abdallah Sururu alizaliwa Siku ya Jumapili Machi 6 mwaka 1994 katika kijiji cha Kasera kilichopo katika Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga.

Ni mtoto wa tatu kati ya watoto wanne katika familia yao kwa upande wa Mama. Pia, ni mtoto wa 3 kati ya wanne kwa upande wa baba yake.

Jumla, katika familia yao kuna watoto watano. Watatu wanawake, na wawili wanaume.

Elimu yake.

hariri

Saidi alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 8 mnamo mwaka 2002 katika shule ya Parungu/Kasera na kumaliza elimu yake ya msingi mwaka 2008.

Mwaka 2009, alianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Mkingaleo.

Alihitimu elimu ya kidato cha nne mwaka 2012.

Ajiunga rasmi na mafunzo ya ufundi stadi.

hariri

Tarehe 20 Januari 2014, Saidi alijiunga na VETA Tanga RVTSC na kuchukua fani ya Electrical Installation.