Nimezaliwa tarehe 16/01/1990 mtoto wa tano kwenye familia ya kashindi mwenda kapama. Naitwa songolo mwenda kashindi aka pacha the boss napenda sana michezo na burudani, nimemaliza form six mwaka 2014. Napenda sana kuwa na soma vitabu na kujifunza vitu mbali mbali.