Historia ya sosthenes masalu. hariri

Bahati sosthenes masalu alizaliwa 15/06/1990. Alizaliwa mkoa wa mwanza, wilaya ya magu.alianza shule ya awali kata ya kabila iliyopo wilaya ya magu na baadae kuendelea na masomo ya msingi katika shule ya msingi kabila.ilipofika mwaka 1997,wazazi wake walihamia mkoa wa shinyanga wilaya ya bukombe, ambapo kwa Sasa wilaya hiyo ipo mkoa wa geita. Mwaka 1999 alianza Tena darasa la Kwanza katika shule ya msingi katome na kuhitimu 2005.baadae alichanguliwa kujiunga na shule ya SEKONDARI ushirombo na kuhitimu 2009,alifaulu na kujiunga KIDATO Cha tano katika shule ya malagarasi iliyopo mkoa wa kigoma wilaya ya kibondo nakuhitimu 2012,baada ya hapo alijiunga na elimu ya chuo kikuu katika chuo Cha tumaini University makumira akisomeavualimu jijini Arusha na kuhitimu 2015, baada ya hapo alianza kupambana na maisha ya ualimu katika shule mbalimbali kama vile ushirombo seminary akihudumu Kama mtaaluma was shule hiyo ilikuwa mwaka 2016 hapo akihudumu kwa mwaka mmoja na baadae kufanya kazi katika shule ya wasichana baramba iliyopo wilaya ya ngara mkoa wa kagera hii ilikuwa 2017-2019 akihudumu Kama mkuu wa shule,na ilipofika mwaka 2020 akihudumu katika shule ya wavulana FAMGI iliyopo jijini MWANZA , mwaka 2021 alianza kazi Tena hiyohiyo ya ualimu katika shule ya mchanganyiko EMINK iliyopo wilaya ya bukombe ambapo anafundisha Hadi Sasa, pamoja na kufanya kazi ya ualimu amekuwa mchango chanya katika jamii yake Kama mshauri kwa vijana, wazee na hata kwa jamii inayomzunguka,sanjali ya hayo pia ni mwana chama hai wa chama Cha CCM na ni mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm (MNEC) BUKOMBE,pia alitia nia katika chama kwa nafasi ya mjumbe halmashauri kuu ccm taifa nafasi 20 bara mwaka 2022, pia nje ya taaluma ya ualimu pia hufanya Sanaa za maigizo na amefanikiwa kucheza michezo kama vile: hatosheki- mhusika mkuu, my decisions- mhusika wa kawaida, Kijiji Cha wachawi- mhusika wa kawaida, super woman-mhusika mkuu masidizi pia ni mbobevu katika uandishi ya miongozoya picha jongefu. Baada ya kuchaguliwa na wananchi katika nafasi ya MNEC BUKOMBE ( 2022-2027). Kwa Sasa anahudumu kama mwalimu katika shule ya dini DONBOSCO DIDIA,akifundisha SoMo la geography. NDOA: sosthenes masalu alioa mwaka 2015 baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu katika shahada ya ualimu. Alipata kuoana na mwanamke kutoka mkoa wa iringa ( jestina ngusulu). Wamefanikiwa kupata watoto wawili wa kike na wakiume 1. Kike - brecious 2. Kiume - Dylan Sosthenes na familia yake wanaishi katika wilaya ya BUKOMBE mkoani geita mtaa wa businda secondary.