Stefano Kaisavira
Imejiunga 1 Machi 2008
Naitwa Etienne Kaisavira lakini kwetu Congo waniita Stefano kwa lugha ya Kiswahili. Naishi hapa Bruxelles (Brussels) Belgium tangu 1995. Kiswahili ni lugha yangu tangu utoto. Nilizaliwa katika eneo ya mashariki ya Congo, jimbo la Kivu ya Kaskazini(Nord-Kivu).
Ninapenda sana kusikiliza na kuimba nyimbo za Mungu zinazomsifu na kumtukuza Mwenyezi Mungu. Mimi ni mkristo. Ninampenda Bwana Yesu maana alinipenda kwanza.
(nimehamisha maadishi ya juu kutoka ukurasa wa msaada:yaliyomo yalipowekwa kwa kosa; mtumiaji Stefano aisahihishe mwenyewe. --User_talk:Kipala 22:38, 1 Machi 2008 (UTC))