Mimi ni mwananafunzi katika chuo kikuu cha Nairobi, kintego cha sayansi ya tarakilishi katika mwaka wa tatu. Mimi ni mkaaji wa mji wa Kisumu lakini kwa sasa niko Nairobi kwa ajili ya shahada yangu ya digrii katika chuo kikuu cha Nairobi. Kabla ya kujiunga na chuo hichi, nilweza kusomea shule ya upili ya Kisumu Boys'.

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)