Mila na desturi za makabila mbali mbali zimepotea hasa kwenye koo mbali mbali saivi mtu yeyote yule ukimuuliza kuhusu mila na desturi za ukoo wao hawezi kukuambia sababu kila kijana anae zaliwa kwenye kabila lake ndani ya ukoo wake hazijuwi mila na desturi kwajiliya mambo ya kidigitali watu/vijana wana iga tabia kutoka sehem mbalimbali ndomaana mila na desturi za ukoo/kabila zimepotea. Zamani walikuwepo viongozi wa makabila ingawa mpaka sasa wapo lakini hawatambuliki/hawajulikan yani hawafahamiki na majukumu yao hatuyaoni, kwanza niulize nini maana ya kiongozi? "Kiongozi ni mtu ambae anasimamia,anaongoza na kila aina ya mambo flani ambayo yapo juu yake na alichaguliwa kwaajili ya kutekeleza majukumu yake" huondo uongozi. Saivi hatuwaoni viongozi wa makabila na ukoo mbali mbali wakihamasisha mila za kiukoo,kikabila na jamii kwa ujumla swali la kujiuliza hawa viongozi wamekwenda wapi? Wana Wikipidia hili swala mnalionaje na vipi mila na destur zipo au zimepotea je mnaonaje twende kidigital au tuludishe mila?>