Tyson Benjamina.k.a Tay C amezaliwa 24.8.1992 ni mtoto wa pili katika familia ya watoto watatu...elimu yake ya msingi alisoma katika shule ya msingi ngome iliyopo katika mkoa wa iringa na secondary alisoma lugalo sesecondary mkoani iringa na chuo alisoma daystar college of jounarlism dar es salaamu!!! alianza kazi ya Utangazaji mwaka 2010 ambapo alianzia radio nuru fm kisha akarudi chuo nwaka 2012 akaenda katika radio country fm mpka mwaka 2013 mwezi wa sita akaachana na utangazaji akawa DJ wa club shooters iringa lakini mwezi wa 8 akaamua kurudi radio huku akiwa Mtangazaji na DJ nuru fm iringa,Mwaka 2015 aliajiriwa na kituo cha kings fm radio njombe baadae 2016 akarejea club laparte iringa ambapo Alifanya kazi kwa kipindi cha miaka mitatu na kurudishwa kings fm radio tena akiwa kama mtangazaji,dj na mtayarishaji wa Jingles na matangazo pamoja na hayo ni mwenyekiti wa kamati ya Ubunifu mpaka sasa katika kituo hicho huku akijihusisha na kuandaa matamasha ya wasanii na djs katika Ukanda wa Nyanda Za Juu Kusini.