Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


mimi ni tatu lungo nilizaliwa Makuyuni Korogwe Tanga miaka 33 iliyopita. Nimesoma Katika chuo kikuku cha Dar es Salaam masomo ya Jiografia Kiswahili na Ualimu. Kwa sasa hivi ni mwalimu katika shule moja ya jijini Dar es Salaam na vile vile nimejiendeleza katika kiwango cha Master ya philosophy in comparative and international Education yaani digrii ya uzamili. Napenda sana kiswahili kwa sasa ni mwalimu wa kiswahili napenda kufundisha wanafunzi kipengele cha fasihi andishi kwenye mashairi, hasa shairi la kwanini kwenye kitabu cha malenga wapya.