Mimi nilikuwa Mkufunzi wa Mpwapwa Chuo cha Uelimu kutoka September 2007 hadi November 2009. Nilijitolea kwa Peace Corps. Uraia kwangu ni Mmerikani.

Karibu kunisahahisha popote. Nilijifunza kuongea vizuri kwa Mafunzo la Peace Corps. Sijapata nafasi kubwa ya kuandika kiswahili sanifu.

Lugha
sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
en This user is a native speaker of English.


KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki (ind.) katika Shindano la WP ya Kiswahili la 2009. (Submissions)