Timothy Taboi Ndiwa
Amezaliwa 9 Aprili
Nchi Kenya


Karibu katika ukurasa wangu!

Mimi nimhitimu wa Chuo kikuu cha Nairobi. Ninaishi na kufanya kazi jijini Nairobi, Kenya.

Nafanya kazi kwenye sekta ya Artificial Intelligence, kazi yangu ikisaidia makampuni mashuhuri za kiteknolojia kama vile Microsoft, NASA na Google kuhamasisha na kuboresha huduma zao za AI.

Katika muda wangu wa mapumziko, mara nyingi utanipata nikisoma vitabu haswa vya historia, nikihari Wikipidia, nikikimbia kunyorosha misuli na viungo (hapa Kenya tunajulikana sana kwa hili 😄) au nikipoteza muda kule mtandao wa reddit.