Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Dar es Salaam Institute of Technology.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Habari? Jina langu ni Benjamin B. Kisaki mwanafunzi wa Dar es salaam Institute of Technology (DIT) tangu mwaka 2007 fani ya Computer Engeneering kiwango cha Stashahada ( Ordinary Diploma). Niko mwaka wa 3 sasa na ninakaribia kumalizia kozi hii ambayo naipenda na yenye changamoto nyingi zinazorandana na maisha yetu ya kila siku!.

DIT ni Taasisi ya Tekinolojia iliyoanzishwa mwaka 1997 awali ilifahamika kama Dar es salaam Techninical College chenye historia ya muda mrefu kwa kutoa mafunzo ya ufundi!. Chuo hiki kipo Katikati ya mji wa Dar es salaam panapo makutano ya Barabara ya Morogoro na Bibi Titi mtaa wa Mohamed.

Kigezo:Mbegu:kwc