YOA MEDIA
Imejiunga 13 Novemba 2024
YOA MEDIA ni kituo cha urushaji na usambazaji wa Habari za mtandaoni (Online Media) iliyopo mkoani Singida chini ya mmiliki na mwendeshaji wake Yosia Emmanuel Richard.
Yoa Media inahusika na urushaji wa matangazo ya Biashara kwa njia ya mtandao.
Ofisi kuu Ipo Halmashauri ya mji mdogo wa Misigiri, wilayani Iramba mkoa wa Singida.