Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi (University of Nairobi). Nasomea Uhandisi(Mechanical Engineering) na niko katika mwaka wa tano na wa mwisho ambapo nitahitimu hapo mwakani.