Mtutuzeli Matshoba
Mwandishi na mfasiri wa Afrika Kusini
Mtutuzeli Matshoba (amezaliwa 1950) ni mwandishi na mfasiri wa Afrika Kusini. Aliandika maandishi mafupifupi. Mwaka wa 1981 alipata Tuzo ya Thomas Pringle kwa ajili ya kazi yake ya Kiingereza katika elimu.
Maandishi yake
hariri- Call me not a man (hadithi, 1979)
- Seeds of War (tamthiliya, 1981)
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtutuzeli Matshoba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |