Muhammad Amour Chomboh

Muhammad Amour Chomboh (amezaliwa Makunduchi kisiwani mwa Zanzibar, 25 Januari 1953) ni mbunge wa jimbo la Magomeni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Maisha yake

hariri

Mh. Chomboh ni Mwislamu wa aina ya Sunni. Ameoa na wana watoto wanane.

Historia ya kazi yake

hariri
Jina la kampuni Cheo Kuanzia Hadi
  • Wizara ya Uchumi na Biashara (Zanzibar)
Meneja wa stoo 1972 1979
  • "Marine and General Supplies"
Mkurugenzi 1986 1990
  • "Capital 200 Clearing & Forwarding"
Mkurugenzi 1991 1994
  • MIC Tanzania-Mobitel
Meneja wa Tawi (Znz) 1994 1999
  • "World Travel Adventure"
Meneja wa Fedha 2000 2005
  • Bunge la Tanzania
Mbunge kutoka Magomeni 2005 2015

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Muhammad Amour Chomboh". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.