Mukurwe-ini ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Nyeri. Eneo lake linajulikana kwa majina mashuhuri ya waliopigania Uhuru wa Kenya.

Mukurwe-ini, Kenya


Mukurwe-ini
Nchi Kenya
Kaunti Nyeri