Mundu SC ni klabu ya mpira wa miguu kutoka Zanzibar ilioko Nungwi karibu na Unguja Afrika Mashariki. Ni moja ya klabu tatu kubwa za mpira wa miguu Unguja.

Kwa sasa timu ipo kwenye mashindano ya michuano ya ligi Zanzibar.

Klabu ilishiriki mashindano ya kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza mwaka 2007.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mundu S.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.