Munit Mesfin
Munit Mesfin (amezaliwa 1981)[1] ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Ethiopia anayejulikana kwa kufanya kazi na mwimbaji wa Kijerumani na mpiga gitaa ӧ Jrg Pfeil.[2] Munit anaimba kwa lugha yake ya Kihabeshi na Kiingereza, kwa msukumo kutoka kwa nyimbo za jadi za Ethiopia. [3] Mesfin analenga masuala ya kijamii na uwezeshaji wa wanawake.
Marejeo
hariri- ↑ Shelemay, Kay Kaufman (2021). SING AND SING ON : sentinel musicians and the making of the ethiopian american diaspora. Chicago: University of Chicago Press. uk. 249.
- ↑ "Munit and Jorg to Perform During DC Soccer Tournament Week at Tadias Magazine". www.tadias.com. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Editor. "Munit Mesfin | Africainterviews". www.africainterviews.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 5 Julai 2018.
{{cite web}}
:|last=
has generic name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Munit Mesfin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |