Mutsuo Taniguchi (5 Machi 19132 Oktoba 1943) alikuwa mwanariadha wa Japani ambaye alishiriki katika mbio za mita 200 za wanaume na za mita 4 x 100 za kupokezana katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1936.Aliuawa wakati wa Vita ya Pili ya dunia.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. https://web.archive.org/web/20200417212856/https://www.sports-reference.com/olympics/athletes/ta/mutsuo-taniguchi-1.html
  2. "Olympians Who Were Killed or Missing in Action or Died as a Result of War". Sports Reference. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Aprili 2020. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mutsuo Taniguchi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.