Mvulana
Mvulana ni mwanaume bado mdogo au kijana wa kiume. Wavulana wadogo bado wana mwili wa kitoto. Hawawezi kukomaa hadi wanapofikia umri wa balehe (huenda ikawa kunako umri wa miaka 12 hadi 14) hapo ndipo miili yao inaanza kukomaa na kuwa mwanamume.
Kinyume chake cha mvulana ni msichana. Msichana ni mtoto wa kike ambaye atakua na kufikia uwanamke.
Jinsi wavulana wanavyokuzwa kwa namna nyingi na tamaduni tofautitofauti. Wavulana wanatakiwa wawe thabiti kuliko wasichana.
Tazama pia
hariri
Marejeo mengine
hariri- http://www.boysnames.co.uk/ Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
- http://www.names4muslims.com/baby-boys.php