Msichana ni mwanamke ambaye hajafikia ukomavu wa utu uzima, ni kijana wa jinsia ya kike, ijapokuwa si tena mtoto tu wa binadamu.

Msichana Mwafrika wa Mali.

Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja kama 'wasichana' wanawake waliokua, hasa katika hali ya kutoka nao usiku katika starehe fulani.

Wasichana wadogo bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia umri wa balehe (huenda wakafikia umri wa miaka 11-13 n.k.) ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya wanawake kamili.

Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yao sehemu za kiunoni na mabegani zinakuwa kubwa na wanaanza kuwa na hedhi.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: