Open main menu

Mwadini Abbas Jecha

Mwadini Abbas Jecha (amezaliwa tar. 15 Oktoba 1959) ni Mbunge wa jimbo la Wete katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Mwadini Abass Jecha (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya njeEdit