Mwangi Kiunjuri

Mwanasiasa wa Kenya

Kiunjuri Festus Mwangi (alizaliwa Kieni, kaunti ya Nyeri, 18 Januari 1967) ni mwanasiasa wa Kenya.

Mwangi amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za kisiasa na serikalini.[1]

Marejeo

hariri
  1. Members Of The 10th Parliament Archived 2008-06-16 at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.