Mwiko (kifaa)
Kwa maana tofauti ya neno hilo angalia Mwiko
Mwiko ni kifaa cha ubao kilicho bapa na chembamba upande wa mshikio na pana zaidi upande mwingine. Hutumika kwa kusongea, kukorogea na kupakulia chakula. Inafanana na kijiko kikubwa. Mara nyingi hutumika katika kupika ugali.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwiko (kifaa) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |