MyLastShot Project

MyLastShot ni kampeni ya kuzuia unyanyasaji wa bunduki iliyoundwa na wanafunzi kutoka Shule ya Upili ya Columbine.[1] Na wanaharakati wanaopenda suala hilo[2].Mradi huu unahusisha wanafunzi kuweka vibandiko kwenye leseni zao za udereva, vitambulisho vya shule na simu. vibandiko ivyo vinaeleza matakwa yao ya kutangaza picha za miili yao ikiwa watakufa kwa kupigwa risasi[3]. Mradi huo ulizinduliwa mnamo  27/03/2019, mwezi mmoja kabla ya adhimisho la miaka 20 ya Upigaji risasi wa Columbine ambao lilifanyika 20/04/1999.

kitambulisho cha shule kikiwa na kibandiko cha #MyLastShot.

Marejeo

hariri
  1. "https://twitter.com/nowthisnews/status/1117963568870084609". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-30. {{cite web}}: External link in |title= (help)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-12. Iliwekwa mnamo 2022-07-30.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-05-05. Iliwekwa mnamo 2022-07-30.