Myron Boadu (alizaliwa 14 Januari 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Twente inayoshiriki Ligue 1 akitokea AS Monaco kwa mkopo.

Marejeo

hariri
  1. "The profile of Myron Boadu, AS Monaco striker". AS Monaco (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Myron Boadu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.