Navarre Scott Momaday (amezaliwa 27 Februari 1934) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1969, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake House Made of Dawn.

N. Scott Momaday pamoja na Rais George W. Bush, 2007
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu N. Scott Momaday kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.