Nadeen Ashraf
Mwana harakati wa Misri dhidi ya uvamizi
Nadeen Ashraf ni mzaliwa wa Misri na mwanaharakati wa haki za wanawake. Alitumia mitandao ya kijamii kuchochea vuguvugu la kampeni iliyoitwa #MeToo iliyofanyika Misri. Pia ni seemu ya orodha ya wanawake 100 wa BBC katika 2020.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "BBC 100 Women 2020: Who is on the list this year?", BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2020-11-23, iliwekwa mnamo 2022-03-02
- ↑ "100 Women (BBC)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-02-23, iliwekwa mnamo 2022-03-02
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadeen Ashraf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |