Naha, Okinawa
Japani, mji mkuu wa Jimbo la Okinawa
Naha (那覇市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Okinawa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 315 000 wanaoishi katika mji huu.
Naha | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Visiwa vya Ryūkyū | ||
Mkoa | Okinawa | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 314,261 | ||
Tovuti: www.city.naha.okinawa.jp |
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Naha, Okinawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |