Najma Murtaza Giga

Mwanasiasa wa Tanzania

Najma Murtaza Giga (amezaliwa tarehe 5 Septemba 1967) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge kupitia kwa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017