Namba isiyowiana

(Elekezwa kutoka Namba zisizowiana)

Namba isiyowiana (kwa Kiingereza: en:irrational number[1]) ni namba halisi ambayo haiwezi kuonyeshwa kama wianisho safi baina ya nambakamili.

Kipeuo mraba cha 2 ni namba isiyowiana.

Mifano mashuhuri ni kipeuo mraba cha 2 na namba ya duara π (Pi). Kwa mfano Pi ikiandikwa kwa namna ya desimali inaanza hivi 3.14159265358979 .... lakini haiwezi kamwe kuonyeshwa kikamilifu kwa kuongeza tarakimu baada ya nukta.

Tanbihi

hariri
  1. Jina la Kilatini-Kiingereza "irrational" haimaanishi "bila akili" ("ratio" kama akili, hekima, en:reason) lakini "bila wianisho" ("ratio" kama uwiano, relation)

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Namba isiyowiana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.